Viongozi wamuombea Trump na mkewe kupata nafuu

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa dunia wamtakia Rais Trump na mkewe kupata nafuu haraka baada ya wote wawili kupimwa na kukutikana na maambukizi ya virusi vya corona.