Viongozi wakosoa marufuku dhidi ya nchi za Kusini mwa Afrika
Your browser doesn’t support HTML5
Viongozi wa Umoja wa Afrika, AU, na Umoja wa Mataifa, UN, wamekosoa hatua ya kuwawekea marufuku wasafiri kutoka mataifa ya Kusini mwa Afrika.