Viongozi wa Ulaya na Afrika wakutana Brussels

Your browser doesn’t support HTML5

Mkutano wa viongozi wa Afrika na Umoja wa Ulaya umeanza rasmi Alhamisi Brussels

- Ufaransa yatangaza kuondoa wanajeshi wake Mali baada ya miaka 10

-NATO yakutana Brussels kujadili mzozo wa Russia na Ukraine

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari