Pia viongozi walishuhudia kukabidhi uwenyekiti wa SADC kutoka kwa Rais wa Malawi Lazarus Chakwera kwenda kwa Rais wa DRC Felix Tshisekedi.
Viongozi wa SADC wahamasisha maendeleo ya kiuchumi ya pamoja
Your browser doesn’t support HTML5
Ujumbe wa Jumuiya ya Maendeleo ya SADC ni kuhamasisha viwanda kupitia usindikaji wa kilimo, faida ya madini na mifumo ya thamani ya kikanda kwa kujumuisha wote na ukuaji stahamilivu.