Viongozi wa pande zote hasimu Sudan watoa wito wa utulivu

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa pande zote mbili hasimu katika siasa za Sudan wameomba wafuasi wao kujiepusha na vurugu za aina yoyote mjini Khartoum, Sudan ambapo wamekusanyika kuandamana.