Viongozi hao walipokelewa na Rais wa Marekani Donald Trump, Jumanne, Septemba 15, kwa ajili ya sherehe ya kurejesha mahusiano kati ya Israeli na nchi za Ghuba ya Arabia.
Viongozi wa Israeli, UAE na Bahrain wakiwasili White House
Your browser doesn’t support HTML5
Viongozi wa Israeli, Umoja wa Falme za Kiarabu na Bahrain wakiwasili White House Kusini Makubaliano ya Abraham.