Viongozi wa G7 waendelea na mkutano wao Japan wajadili vikwazo vipya dhidi ya Russia

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa kundi la G7 waendelea na mkutano wao Japan huku wakiwa wanatafakari kuongeza vikwazo vipya dhidi ya Russia.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari