Viongozi wa G7 kuzungumzia vikwazo vikali dhidi ya Russia

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa Kundi la G7 wamewasili Hiroshima Japan Alhamisi kuzungumzia vikwazo vikali dhidi ya Russia na ulinzi kutokana na ushindani wa kiuchumi wa China

Wakazi walionusurika na mafuriko Kivu Kusini, DRC bado wanapitia hali mbaya na ngumu ya kimaisha

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari