Viongozi wa Afrika Mashariki wahudhuria mazishi ya Nkurunziza

Your browser doesn’t support HTML5

Maelfu ya raia wa Burundi walijitokeza barabarani kutoa heshima zao kwa mwili wa Rais Pierre Nkurunziza uliokuwa unaelekea uwanjani kwa ajili ya kuagwa kitaifa.