Viongozi mbalimbali duniani wampongeza Rais mpya wa Malawi

Your browser doesn’t support HTML5

Salamu za pongezi zaendelea kumiminika kwa Rais mpya wa Malawi aliyeshinda uchaguzi wa urais uliorudiwa baada ya ule wa awali Mei 2019 kubatilishwa na mahakama.