Viongozi Marekani wawaenzi mashujaa wa vita vya kwanza vya dunia

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Donald Trump atembelea makaburi ya kumbukumbu ya mashujaa Arlington, wakati Rais mteule Joe Biden akitembelea makaburi ya kumbukumbu ya vita vya Korea huko Philadelphia, wote wakiwaenzi wapiganaji waliokufa katika vita vya kwanza vya dunia.
Pia ya kumbukumbu ya mkataba wa kimataifa wa kumaliza vita vya kwanza vya dunia.