Jamii za kiarabu Israel zakumbwa na ghasia

Your browser doesn’t support HTML5

Ghasia katika jamii za waisraeli wenye asili ya kiarabu zinaongezeka. Takriban watu 79 wameuwawa mwaka huu. Katika baadhi ya maeneo, wazazi wanahofia kuwaachia watoto wao kwenda nje usiku. Hii ni ripoti ya mwandishi wa VOA Linda Gradstein.