Vikosi vya UN viko tayari kuisaidia serikali ya Bangui Jamhuri ya Kati

Your browser doesn’t support HTML5

Umoja wa Mataifa wasema vikosi vyake vya kulinda amani vya MINUSCA viko tayari kulisaidia jeshi la taifa la serikali ya Bangui kuhakikisha uchaguzi unafanyika Jamhuri ya Afrika ya Kati.