Vijana Kenya walalamikia mkakati wa uvuvi wa serikali

Your browser doesn’t support HTML5

Vijana Kenya wanalalamika hawaja husishwa kikamilifu katika mchakato wa juhudi za mipango ya kuboresha shughuli za uvuvi pwani ya nchi hiyo kwa malengo ya uzalishaji wa chakula na ajira kwa vijana.