Vijana Burundi wazindua mradi wa kutangaza nchi yao kuwavutia watalii

Your browser doesn’t support HTML5

Vijana nchini Burundi wamezindua mradi wa kitaifa wenye lengo la kubadilisha taswira ya nchi hiyo huku ikiwa ni juhudi ya kuitangaza nchi yao kwa kutumia mitandao ya kijamii kuwavutia watalii.