Vigogo wa kisiasa wafanya kampeni Georgia

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa kisiasa wa vyama hasimu vya Republikan na Demokratik wafanya kampeni ya duru ya pili ya uchaguzi wa viti viwili vya Seneti Georgia.