Vifo vinavyotokana na watu kuzama majini

Your browser doesn’t support HTML5

Ndani ya Maisha na Afya wiki hii tutaangalia vifo vinavyotokana na watu kuzama majini na pia wiki ya kunyonyesha, na kinamama wanavyofanya wakati huu wa COVID-19.