Vifo na maambukizi ya COVID-19 yaongezeka nchini Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Idadi ya kesi zilizothibitishwa Marekani za COVID 19 zimeongezeka kufikia zaidi ya milioni 50 hadi Jumatano huku kukiwa na idadi ya vifo zaidi ya laki nane kwa mujibu wa data zilizotolewa na taasisi ya sayansi ya chuo kikuu cha Johns Hopkins.