Vifo kutokana na corona Marekani vyapindukia 100,000

Your browser doesn’t support HTML5

Chuo Kikuu cha Johns Hopkins Marekani kimeeleza kuwa idadi ya vifo kutokana na virusi vya corona inaendelea kuongezeka Marekani.