Uwepo wa majeshi ya Russia mpakani Ukrainę kujadiliwa Geneva

Your browser doesn’t support HTML5

Hali ya mivutano nchini Ukraine huku kukiwa na wanajeshi wa Russia takriban laki moja karibu na mpaka ni suala kuu la majadiliano kati ya Marekani na Russia watakapokutana wiki hii Geneva.