Uturuki yaimarisha ushirikiano na Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya kuahirishwa kwa mkutano wa Uturuki na nchi za Afrika pande hizo mbili zimekutana Ijumaa kuzungumzia ushirikiano wa kibiashara kati yao.