Utumiaji wa dawa ya kulevya heroin waongezeka Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Kenya imeshuhudia ongezeko kubwa la utumiaji wa dawa ya kulevya aina ya heroin wakati dawa hizo zikiendelea kupitishwa nchini humo.