Uteuzi wa viongozi uliofanywa na Rais Samia wapongezwa

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi wapokea uteuzi wa mawaziri na manaibu mawaziri walioapishwa Alhamisi na Rais Samia Suluhu Hassan kwa mitizamo tofauti huku wakipongeza na kueleza matarajio yao.