Utawala wa Rais Biden watangaza sera mpya kwa Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Utawala wa Rais wa Marekani Joe Biden umesema sera yake mpya kwa Afrika itazingatia usawa, jamii zilizowazi na zenye demokrasia, kujikwamua pia kutoka janga la corona na kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.

Ungana na mwandishi wa VOA Harrison Kamau ili akupe yale yote yaliyojiri Marekani na sehemu nyingine za dunia.