Utawala wa Biden kutojihusisha na mfumo wa pasipoti ya chanjo

Your browser doesn’t support HTML5

Utawala wa Rais wa Marekani Joe Biden umesema hautahusika na mfumo wa kitaifa wa pasipoti ya chanjo.
- Waombolezaji na waandamanaji wafurika Minnesota hapa Marekani kupinga kifo cha kijana anayedaiwa kuuwawa na polisi.

- Rais wa Benin amepongeza utaratibu wa uchaguzi wa Jumapili uliosusiwa na upinzani nchini humo.