Utalii washika kasi Dubai, watalii waanza kuwasili
Your browser doesn’t support HTML5
Dubai yarejea katika hali yake ya kawaida baada ya wimbi la janga la Corona huku watalii wakianza kuwasili nchini humo, na shirika la ndege la Emirates likirejesha robo tatu ya safari zake.