Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili inayoeleza hasara zinazotokana na majanga mbalimbali duniani ikiwemo vimbuga, vita na mafuriko na kiwango cha fedha zilizotolewa kufidia uharibifu huo. Pia utaweza kusikiliza habari mbalimbali za dunia...
Utafiti wabaini majanga 2022 yalisababisha uharibifu mkubwa haujawahi kushuhudiwa
Your browser doesn’t support HTML5
Utafiti wa wanasayansi unasema majanga yaliyotokea mwaka 2022 yalisababisha uharibifu mkubwa ambao haujawahi kuonekana katika historia. utafiti huo ulitolewa na kampuni moja ya bima.