Matukio ya Dunia Utafiti wa kutumia damu kujenga kinga dhidi ya COVID-19 27 Mei, 2020 Your browser doesn’t support HTML5 Teknolojia mpya ya kutibu corona kwa kutumia damu ya waliopona kutokana na COVID-19 kujenga kinga unaendelea.