Ushindi wa Raphael Warnock ni nguvu mpya kwa Wademokrat katika Baraza la Seneti

Your browser doesn’t support HTML5

Seneta Raphael Warnock ashinda uchaguzi wa marudio. Wademokrat hivi sasa watakuwa na wingi wa viti 51 dhidi ya 49 katika Baraza la Seneti la Marekani na kupata kiti cha ziada kwa vile vya sasa walivyonavyo 50 kwa 50.

Endelea kusikiliza ambavyo walikuwa wamegawana ushindi kutokana na ushindi wa John Fetterman huko Pennsylvania. Ungana na mwandishi wetu kwa repoti kamili namna serikali itakavyogawanyika….