Marudio ya uchaguzi wa Seneti yapamba moto Georgia

Your browser doesn’t support HTML5

Wademokrat na Warepubiikana wanashindania viti viwili vya Seneti huko Georgia katika kinyang'anyiro kinachoelezwa kuwa chenye ushindani mkali cha uchaguzi wa marudio utakaofanyika Januari 5, 2021.