- Mkimbiaji mwenye rekodi ya dunia kutoka Kenya Eliud Kipchoge aanzisha taasisi yake itakayo lenga elimu na mazingira.
US Open : Chipukizi wa Tennis Leylah aingia hatua ya nusu finali
Your browser doesn’t support HTML5
Mcheza Tennis chipukizi Leylah Fernandez, raia wa Canada aendelea kushangaza mashabiki wake katika michuano inayoendelea huko New York ya US Open kwa kumshinda mpinzani wake Elina Svitolina na kuingia hatua ya nusu fainali.