US Open 2021 : Medvedev afuta ndoto ya Djokovic

Your browser doesn’t support HTML5

Daniil Medvedev wa Russia amefuta ndoto ya Novak Djokovic kwa kumshinda katika fainali iliyochezwa Jumapili katika msimu wa mwaka 2021 wa Tennis na hivyo kuweza kuchukua ubingwa wa mashindano yote makubwa ya Tennis ya US Open.