Matukio ya Dunia Upinzani washinikiza matokeo ya uchaguzi mkuu Zimbabwe 2 Agosti, 2018 Your browser doesn’t support HTML5 Wafuasi wa upinzani Zimbabwe wakabiliwa na nguvu za dola baada ya kushinikiza tume ya uchaguzi kutangaza matokeo