Upinzani Somaliland washinda viti vingi bungeni

Your browser doesn’t support HTML5

Vyama viwili vya upinzani nchini Somaliland kwenye Pembe ya Afrika vyashinda viti vingi zaidi katika uchaguzi uliofanyika wiki iliyopita.
- ​Naibu kamishna wa wilaya ya Ghotki Mohammed Usman Abdullah nchini Pakistan anasema idadi ya watu waliojeruhiwa kutokana na ajali ya treni kusini mwa nchi imeongezeka kupindukia 100 na karibu watu 38 wamefariki.