Upinzani Senegal wadai himizo la Rais kuhusu usalama ni kukandamiza wapinzani

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Senegal amewahimiza maafisa wa polisi kuchukua hatua zote muhimu kuhakikisha usalama unaimarishwa zaidi kufuatia maandamano ya kupinga hatua ya kufunguliwa mashtaka kiongozi wa upinzani nchini humo.

Ungana na mwandishi wetu akikuletea hoja ya kiongozi wa upinzani kuhusu sababu zilizochochea serikali kumfungulia mashtaka....