Upinzani Jamhuri ya Kati wajiondoa uchaguzi wa Bunge

Your browser doesn’t support HTML5

Muungano wa vyama vya upinzani katika Jamhuri ya Afrika ya Kati umejiondoa kwenye uchaguzi wa Bunge wakidai kuwa mchakato huo una njama mbaya.