UNIMISS yahamasisha kutokomeza manyanyaso ya kingono Juba

Your browser doesn’t support HTML5

Jumuiya ya Kiraia, UNIMISS, yahamasisha wadau mbalimbali nchini Sudan Kusini kusimamia haki za kinamama na kuzuia unyanyasaji wa kingono ambao umekithiri kwenye maeneo ya mizozo.