UNHCR yasikitishwa na hali inayowakabili wakimbizi wa Eriteria

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR linasema linaendelea kupokea habari za kusikitisha kuhusu hali mbaya ya wakimbizi wa Eriteria katika kambi za wakimbizi katika jimbo la kaskazini la Ethiopia la Tigray.