UN yahimiza msaada wa dharura ukanda wa Sahel

Your browser doesn’t support HTML5

Umoja wa Mataifa unasisitiza msaada wa dharura kupelekwa katika kanda ya Sahel ambako wananchi wa eneo hilo wamelazimika kukimbia makazi yao kutokana na mashambulizi ya kikatili yanayo fanywa na magenge yenye siasa kali.