UNHCR yaeleza changamoto zinazowakabili katika kufungua kambi ya nne Kenya
Your browser doesn’t support HTML5
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya wakimbizi limesema mbali na kambi ya Daadab ina mipango wa kufungua kambi ya nne katika miezi michache ijayo nchini Kenya. Ungana na mwandishi wetu akikuletea changamoto zinazowakabili katika kutekeleza azma hiyo. Endelea kusikiliza...