UNGA : Viongozi wa Afrika wahimiza kuwepo usawa wa chanjo

Your browser doesn’t support HTML5

Hotuba za baadhi ya viongozi wa Afrika katika Mkutano Mkuu wa UN zatawala hoja ya kuwepo usawa wa chanjo.
- Wakenya 89 wamekufa katika nchi za Kiarabu wengi wakiwa wanafanya kazi majumbani.

- Wahamiaji wa Haiti wanafanya safari ngumu kuingia Marekani huku wakikabiliwa na shinikizo la kurejeshwa nchini kwao.