UNGA : Hotuba za viongozi zajikita katika suala la COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Suala la chanjo ya COVID-19 latawala hotuba za viongozi katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaofanyika New York, Marekani.