UN yatoa msaada wa $35 milioni kwa walioathiriwa na vita Tigray

Your browser doesn’t support HTML5

Umoja wa Mataifa yasema dola za Marekani milioni 25 kati ya msaada huo zitatumiwa kununua dawa kwa ajili ya waliojeruihiwa na wagonjwa pamoja na chakula na maji ya kunywa.
Huku dola milioni 10 zilizobaki zikitumika katika kujenga makazi ya muda, vituo vya afya na visima vya maji kwa ajili ya maelfu ya wakimbizi.