UN yatathmini athari za vikwazo walivyowekewa Zimbabwe

Your browser doesn’t support HTML5

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa amewasili nchini Zimbabwe Jumatatu kutathmini athari za vikwazo vilivyowekewa taifa hilo na Marekani na Umoja wa Ulaya.