UN yasitisha kwa muda misaada ya kibinadamu Sudan Kusini

Your browser doesn’t support HTML5

Umoja wa Mataifa umesitisha kwa muda misaada ya kibinadamu Mashariki ya Sudan Kusini kufuatia kuuawa kwa wafanyakazi wake wawili.