UN yasisitiza matumizi ya nishati mbadala kuepuka janga la hali ya hewa
Your browser doesn’t support HTML5
Katibu Mkuu huyo ameelezea kwa kina kile kinachochukuliwa kama mpango wa kuiokoa dunia kwa kuanza kutumia nishati mbadala kote duniani badala ya kutumia gesi, mafuta na mkaa.