UN yasema wahamiaji 20 kutoka Somalia na Ethiopia wamefariki

Your browser doesn’t support HTML5

Umoja wa Mataifa (UN) umeeleza Alhamisi kuwa Wahamiaji 20 kutoka Somalia na Ethiopia wafariki baada wasafirishaji haramu wa biashara ya binadamu kuwatupa baharini.