UN yaonya kutokea vifo vingi mashariki ya Myanmar

Your browser doesn’t support HTML5

Mtaalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa ameonya kutakuwepo na vifo vingi kutokana na njaa, magonjwa, na ukosefu wa makazi huko mashariki mwa Myanmar.