UN yaeleza waasi wenye silaha wachochea vita DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Mwakilishi wa UN aeleza kuendelea kwa harakati kwa niaba ya makundi yenye silaha zinachangia sana katika ukosefu wa usalama nchini Congo.

Imeyataja makundi husika yenye silaha ikwemo ADF, M23 na makundi mengine ya waasi kunachochea ukosefu wa usalama mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na pia kuongezeka kwa hali ya kutoaminiana na mivutano kati ya nchi za kanda hiyo, DRC na Rwanda. Hivyo mwakilishi anatoa mapendekezo na hatua ambazo zinapaswa kuchukuliwa. Endelea kumsikiliza...