UN yaeleza athari za COVID-19 kwa ajira Duniani
Your browser doesn’t support HTML5
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuwa hali ya watu kupoteza ajira itakuwa mbaya zaidi katika bara la Amerika kutokana na athari za COVID-19.